Baba mzazi wa marehemu Patrick anaeishi Mwananyama kwa Mwakibile leo Julai 4 amefunguka kuhusiana na sakata la mkanganyiko unaojitokeza kuhusiana na mtoto huyo ambapo amedai kuwa Muna Love ambae mama wa Patrick ndio chanzo cha yote na kutoa kauli kuhusu jambo hilo.