Mwarabu Fighter, Baunsa wa Diamond Apata Ajali Mbaya na Kukimbizwa Muhimbili

En Sıcak Videolar 2018-06-22

Views 4

Mwarabu Fighter Apata Ajali Mbaya na Kukimbizwa Muhimbili
Official baunsa wa Diamond Platnumz, Mwarabu Fighter amepata ajali mbaya alfajiri ya leo, eneo la Afrikana jijini Dar es Salaam ambapo baadaye alikimbizwa katika Hospitali ya Lugalo kisha kuhamishiwa katika Hospitali ya Muhimbili.

Akizungumza kwa taabu akiwa Muhimbili, Mwarabu Fighter anasema alikuwa amepakizwa kwenye bodaboda ambapo dereva wake akiwa analipita carterpillar, ghafla mbele yao alitokea dereva mwingine wa bodaboda na kusababisha ajali hiyo.

Anaeleza kwamba alipoteza fahamu kwa zaidi ya dakika ishirini kutokana na kutokwa na damu nyingi lakini anawashukuru madaktari kwa jinsi walivyompigania.

Install GlobalPublishersApp Android: iOS: Subscribe FACEBOOK: ... TWITTER: Visit , Subscribe Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: ... TWITTER: INSTAGRAM: ..

Share This Video


Download

  
Report form