BABU TALE, Live kutoka South Africa kwa ZARI - Part2

Elegant Videos 2018-06-05

Views 1

Meneja wa msanii Diamond Platnumz Babu Tale weekend iliyopita alifunga safari mpaka South Africa kwa Madiba kutafuta usuluhishi baina ya Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Zari The Boss Lady.

Share This Video


Download

  
Report form