MWIZI AMBAYE ALIGANDIWA NA GUNIA LA MAHINDI KICHWANI AZUNGUMZA UKWELI WOTE KWA SHILAWADU

Elegant Videos 2018-05-23

Views 1

Kijana Ambaye Aliteka sana mitandaoni baada ya story Yake ya Kuiba Gunia la mahindi Huko Pwani na Kujisalimisha polisi mara baada ya kusema kuwa Gunia hilo aliloliiba kwa mama Mmoja kugoma kushuka kichwani mara baada ya kulibeba,
Azungumza Ukweli Wote Kuhusiana na Tukio Hilo. na kusema kuwa haikua kweli ila alifanya vile baada ya kudanganywa na matapeli kuwa akifanya hivyo atapatiwa pesa kiasi cha Tsh Million 2.

Share This Video


Download

  
Report form