BREAKING NEWS: MUIGIZAJI ELIZABETH MICHAEL (LULU) AACHILIWA HURU HIVI PUNDE

New Video en 2018-05-14

Views 11

Tarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba kuna fununu kuwa Muigizaji maarufu nchini Tanzania Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ameachiwa huru na inaripotiwa tayari ametoka Gerezani.
:
Chanzo chetu cha habari hakijaeleza kama ametoka kwa msamaha wa Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli uliotoka tarehe 26 mwezi wa 4 au alikata rufaa na ameshinda au yupo nje kutumikia kifungo cha nje kwa Mujibu wa Sheria.

Endelea kufuatilia gervas maro kupata habari hii kiundani zaidi pindi tu tutakapopata taarifa kamili.

Share This Video


Download

  
Report form