Ni simulizi ya kweli ambayo aliiandika sana kwenye nyimbo zake mbili akisema alifukuzwa kwa ndugu kwa kosa la kusahahu kusuuza sahani.hapa anatuelezea uhalisia wa tukio hilo...Wazo tv ina mengi zaidi ya haya kukufahamisha..hakikisha umesubscribe kuyapata mengi zaidi kila yanapowekwa...