Tazama A to Z ya mazishi ya mwili wa Masogange kijijini kwake Utengule

Dizi Fragman 2018-04-28

Views 24

Leo Aprili 23, 2018 mamia ya wakazi wa mkoa wa Mbeya wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Video Vixen, Agness Masogange katika kijiji cha Utengule. Ambapo watu maarufu na viongozi wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.

Share This Video


Download

  
Report form