WASANII WAJUMUIKA KWENYE MSIBA WA MASOGANGE MBEYA, SHISHI AWAONGOZA

Video Bora 2018-04-27

Views 4

Baadhi ya wasanii wamewasili nyumbani kwa wazazi wa marehemu Agnes Gerald (Masogange), Mbalizi II wilayani Mbeya, ambako mazishi yatafanyika Aprili 23, 2018.
Mmoja wa wasanii Zuwena Mohamed almaarufu Shilole yupo msibani akishirikiana na waombolezaji wengine kuandaa chakula

Share This Video


Download

  
Report form