ALIKIBA AFUNGUKA SABABU YA KUMKIMBIA JOKATE

New Video en 2018-04-26

Views 3

Jana ilikua ni siku ya Harusi ya msanii wa Bongo fleva Ali salehe kiba almaharufu kama alikiba na msanii Huyo aliweza kufunguka sababu zilizomfanya akaowa nchini kenya na kuwaacha baadhi ya ma ex girlfriend zake ambao alikuwa anategemewa kuwaoa.

Share This Video


Download

  
Report form