Alikiba akitoa salam za pole msibani kwa Masogange

New Video en 2018-04-22

Views 8

Leo ilikuwa ni siku ya kuuaga mwili wa Video Queen Agnes Msogange katika viwanja vya Leaderz Club jijini Dar es salaam, Mwanamuziki Alikiba alipata nafasi ya kutoa salam za pole viwanjani hapo.

Share This Video


Download

  
Report form