Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kab" />
Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kab"/>
Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kab">

ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"

New Video en 2018-04-19

Views 1

ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameambia serikali kuwa inapanaga kutekeleza miradi mikubwa ili hali haina pesa ya kutekeleza miradi hiyo ambayo ameielezea kuwa ni gharama kubwa.
Tupate taarifa kamili kutoka kwa Catherine Kahabi…..

Akichangia hotuba ya Bajeti ya ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Zitto amesema kuwa licha ya kujigamba kuwa serikali ina uwezo wa kujenga mradi huo lakini ukweli ni kwamba haina pesa ya kufanya miradi hiyo.

Awali akitolea ufafanuzi suala hilo waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya makazi William Lukuvi amesema, suala la ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa stiglers linamanufaa makubwa kwa taifa.


iOS: Subscribe FACEBOOK: ...

TWITTER: Visit , Subscribe

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: ... TWITTER: INSTAGRAM: ..

Share This Video


Download

  
Report form