Kilio cha wanawake waliomiminika kwa RC Makonda

Best Video en 2018-04-10

Views 8

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo (Aprili 09, 2018) amezungumza na wanawake waliodai kutelekezewa watoto bila kupata matunzo kutoka kwa wazazi wenza (baba).

Share This Video


Download

  
Report form