KIONGOZI WA UPINZANI NASA RAILA ODINGA ANAZIDI KUPATA UUNGWAJI MKONO KWA UPATANISHO WAKE NA RAIS UHURU KENYATTA.WABUNGE WA NASA KWA SASA WANASEMA UPATANISHO HUO ULIKUWA WA VIONGOZI WALIOWANIA URAIS PEKEE NA HIVYO VINARA WENGINE WA NASA HAWAFAI KULALAMA KUHUSU UPATANISHO HUO //