Mkono wa Kushoto- Si kila unayemuona anapesa amezipata kwa njia za halali. Muniru anamlazimisha Frola ili amsaidie kupata utajiri kama yeye alivyopata, matokeo yake anajikuta anakosa pesa na kupelekea kupoteza mdogo wake wa pekee kwasababu ya tamaa ya utajili\r
\r
Angalia filamu hii ya kusisimua. Toa maoni yako.\r
\r
Bofya link hii kuangalia Part 1 : \r
\r
Whatever Film Productions presents: Mke Mwenza - Part 1\r
Bongo Movie / mapezi / chuki / usaliti / swahili\r
\r
Subscribe: \r
Facebook: